Yanga imetangaza viingilio vya mchezo wa Ligi ya Mabingwa dhidi ya Al Ahly ambao utapigwa Disemba 02 katika uwanja wa Benjamin Mkapa
Habari njema kwa Mwanachama ambaye amelipia ada yake, atalipia nusu ya bei ya viingilio hivi. Ofa hii inapatikana Makao Makuu ya klabu ya Yanga, Jangwani jijini Dar es salaam
VIP A ni Tsh 50,000/-, VIP B ni Tsh 30,000/-, VIP C ni Tsh 20,000/-, Orange ni Tsh 10,000/- na Mzunguuko ni Tsh 5,000/-

ADVERTISE HERE