Wachezaji Pacome Zouzoua, Khalid Aucho na Clement Mzize wametajwa katika kinyang'anyiro cha kuwania tuzo ya NIC PLAYER OF THE MONTH kwa Mwezi Novemba
Baada ya Stephane Aziz Ki kushinda tuzo ya kwanza iliyotolewa mwezi Oktoba, tuzo ya Novemba itakwenda kwa Pacome, Aucho au Mzize
Je ni nani anastahili kushinda tuzo ya Novemba?. Kura zinapigwa kupitia App rasmi ya klabu ya Yanga

ADVERTISE HERE