Leo Young Africans tawi la Manzese limezinduliwa sambamba na kufanyika sherehe maalum ya ubingwa huku wakitumia sherehe hiyo kumkaribisha rasmi Afisa Habari mpya wa Yanga, Dismas Ten.
Ten amechukua nafasi ya Jerry Murro ambaye alifungiwa na TFF mwaka mmoja. Licha ya adhabu yake kumalizika Yanga iliamua kufanya mabadiliko.
Akizungumza kwenye hafla hiyo, Ten ameahidi kufanya mapinduzi makubwa kwenye mfumo wa upashanaji habari wa klabu.

ADVERTISE HERE