Habari ya mjini leo ni ushindi wa kishindo wa Rais wa Yanga Injinia Hersi Said ambaye amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa kwanza wa Shirikisho la Vilabu Afrika (Africans Clubs Association - ACA)
Hersi kachaguliwa kwa kura 99%, kura moja tu ndiyo iliyoharibika, na kura hiyo ni kutoka Tanzania!
Haya wale waliokuwa wakiponda kuwa Yanga ina Rais 'msela' basi habari ziwafikie, Hersi ndio Mwenyekiti wa umoja wa klabu zote barani Afrika...!

ADVERTISE HERE