Rais wa Yanga na Mwenyekiti wa Shirikisho la Vilabu Afrika Eng.Hersi Ally Said leo alialikwa na Balozi wa Urusi nchini Tanzania Bw.Andrey Avetisyan
Mualiko huo ulikuwa mahsusi kwa lengo la kujenga ushirikiano wa kukuza soka kuanzia ngazi za chini baina ya Yanga na vilabu vya mpira nchini Urusi
Pia Balozi wa Urusi nchini alimpongeza Rais Hersi kwa kazi nzuri anayoendelea kufanya na kumtakia kila la kheri kwenye majukumu yake mapya kama Mwenyekiti wa Shirikisho la Vilabu Afrika


ADVERTISE HERE