Mazoezi ya kwanza Ghana

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
6 Dec 2023
Mazoezi ya kwanza Ghana

Baada ya kutua katika Mji wa Kumasi, Ghana Yanga haikuwa na muda wa kupoteza kwani usiku huo kikosi kilianza mazoezi kujiandaa na mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya Medeama Fc ambao utapigwa Ijumaa

Meneja wa Yanga Walter Harrison amesema mazoezi hayo ni maalum kwa ajili ya 'recovery' kuondoa uchovu baada ya safari ndefu

Yanga itakuwa na siku mbili za maandalizi kabla ya kushuka dimbani keshokutwa katika mchezo ambao Wananchi wanazihitaji alama zote tatu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8m ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
32m ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
3h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
8h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
9h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
19h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’