Yanga kushiriki Mapinduzi Cup

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
12 Dec 2023
Yanga kushiriki Mapinduzi Cup

Timu 12 ukanda wa Afrika Mashariki zimethibitisha kushiriki michuano ya kombe la Mapinduzi inayotarajiwa kuanza mwishoni mwa mwezi huu visiwani Zanzibar

Michuano ya mwaka huu inatarajiwa kuwa na msisimko zaidi baada ya timu kuongezeka

Yanga ni miongoni mwa timu 12 kutoka Tanzania Bara, Zanzibar, Rwanda, Burundi, Uganda na Kenya ambazo zimethibitisha kushiriki michuano hiyo

Timu hizo ni;

  1. Mlandege FC - Zanzibar
  2. Singida Fountain Gate - Tanzania Bara
  3. Vital'O FC - Burundi
  4. Simba SC - Tanzania Bara
  5. Yanga SC - Tanzania Bara
  6. APR FC - Rwanda
  7. Azam FC - Tanzania Bara
  8. URA FC - Uganda
  9. Bandari FC - Kenya
  10. KVZ FC- Zanzibar 
  11. Chipukizi FC - Zanzibar
  12. Jamhuri SC - Zanzibar

Mapinduzi Cup itaanza kutimua vumbi Desemba 28, 2023 katika Uwanja wa Amaan Visiwani Zanzibar

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
2h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
9h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
13h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
16h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’