Tabora United vs Yanga kupigwa Dodoma

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
18 Dec 2023
Tabora United vs Yanga kupigwa Dodoma

Baada ya mchezo wa Ligi ya Mabingwa dhidi ya Medeama Fc ambao utapigwa Jumatano, Disemba 20 katika uwanja wa Benjamin Mkapa, Yanga itasafiri kuelekea mkoani Dodoma kwa ajili ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Tabora United

Mchezo huo ambao awali ulipangwa kupigwa Disemba 22, sasa utapigwa Disemba 23 katika uwanja wa Jamhuri, saa 1 usiku

Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi ambao ulikuwa ukitumiwa na Tabora United, umefungiwa na Bodi ya Ligi baada ya kukosa sifa na hivyo wafuga nyuki hao kuhamia Dodoma

Yanga inakabiliwa na ratiba ya kucheza mechi mfululizo kila baada ya siku tatu kwani baada ya mchezo dhidi ya Tabora United, wataelekea mkoani Kagera kuikabili Kagera Sugar Disemba 26 na kisha kurejea jijini Dar es salaam kuikabili Mashujaa Fc Disemba 29

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Ijumaa, Oktoba 30 2026
Magazeti ya leo Ijumaa, Oktoba 30 2026
45m ago
READ MORE β†’
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
12h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
16h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
20h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
21h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
1d ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’