Leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa winga wa Yanga Jesus Ducapel Moloko
Moloko wanamuita Yesu wa Congo akiwa amezaliwa siku ambayo Jesus Christ alizaliwa
Ni msimu wa tatu Moloko yuko ndani ya kikosi cha Yanga. Mchezaji pekee aliyesalia kikosini miongoni mwa wachezaji waliosajiliwa na Yanga misimu mitatu iliyopita kutoka DR Congo
Moloko alitua Yanga msimu mmoja sambamba na Fiston Mayele (Pyramids Fc), Heritier Makambo, Yannick Bangala (Azam Fc) na Djuma Shaban (Azam Fc)
Tunamtakia kila la kheri katika siku hii ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwake
HAPPY BIRTHDAY MOLOKO...
ADVERTISE HERE