Dodoma Jiji wamtaka Nkane

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
26 Dec 2023
Dodoma Jiji wamtaka Nkane

Winga Denis Nkane msimu huu amekuwa na wakati mgumu kupata nafasi kwenye kikosi cha Kocha Miguel Gamondi

Nyota huyo ambaye mwanzoni mwa msimu alipata majeraha yaliyomfanya awe nje kwa zaidi ya wiki nne, anawindwa na klabu ya Dodoma Jiji

Taarifa kutoka ndani ya uongozi wa Yanga, imebainisha kuwa Dodoma Jiji imewasilisha rasmi ombi kwa uongozi wa Yanga kumuhitaji winga huyo 'kiberenge'

Wakati akijiunga na Yanga, Nkane alitokea klabu ya Biashara United iliyokuwa ikinolewa na kocha Francis Baraza

Baraza ndiye kocha wa Dodoma Jiji, aliamini kipaji cha Nkane na kumpa nafasi katika kikosi chake wakati huo akiwa na Biashara United

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
5h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
5h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
8h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
13h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
16h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
19h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’