Usajili mpya kutambulishwa Zanzibar

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
28 Dec 2023
Usajili mpya kutambulishwa Zanzibar

Jumapili Disemba 31 Yanga itakuwa visiwani Zanzibar katika michuano ya kombe la Mapinduzi ikiumana na Jamhuri

Kabla ya mchezo huo kutakuwa na 'surprise' kwa Wananchi utambulisho wa Mwanafamilia mwingine aliyejiunga na Wananchi

Meneja wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano klabu ya Yanga Ali Kamwe amesema tukio la utambulisho wa mchezaji hiyo litakuwa zaidi ya 'shoo' aliyofanya Diamond Platinumz kwenye uzinduzi wa New Amaan Stadium hapo jana

"Disemba 31 tunakwenda kutambulisha mchezaji mkubwa katika uwanja wa Amaan. Tunaweza kisema mchezaji huyu ni mgeni mwenyeji"

"Itakuwa surprise kubwa, mpaka wakati huu tunapozungumza tayari mchezaji yuko Zanzibar hivyo kwa wale wanahabari waliosubiri kwenda kuvizia pale bandarini tunawaambia wamechelewa"

"Huyu mwamba tulitaka kutambulisha Dec 29 lakini sasa baada ya ushauri wa Rais wa Yanga Injinia Hersi Said, utambulisho wake utakuwa zawadi kwa Wananchi wa Zanzibar, "alisema Kamwe

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
5h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
8h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
14h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’