Kikosi cha Yanga kimekamilisha maandalizi yake kuelekea michuano ya kombe la Mapinduzi inayoendelea visiwani Zanzibar
Leo Yanga itaondoka jijini Dar es salaam kuelekea Zanzibar tayari kwa mchezo wa kwanza katika michuano hiyo dhidi ya Jamhuri utakaopigwa Jumapili, Disemba 31
Kikosi cha kocha Miguel Gamondi kilikamilisha maandalizi ya mwisho jana Avic Town





ADVERTISE HERE