Kikosi cha Yanga kimekamilisha maandalizi kuelekea mchezo wa tatu wa kombe la Mapinduzi dhidi ya KVZ ambao utapigwa katika uwanja wa New Amaan Complex hapo kesho
Utakuwa mchezo wa kukamilisha ratiba kwa Yanga ambayo imeshakata tiketi ya kutinga robo fainali ya michuano hiyo






ADVERTISE HERE