Yanga yapeleka saba Ivory Coast

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 Jan 2024
Yanga yapeleka saba Ivory Coast

Baada ya TFF kutoa orodha ya mwisho ya wachezaji 27 ambao wanakwenda kushiriki michuano ya Afcon 2023 itayoanza wiki ijayo nchini Misri, Yanga itakuwa na jumla ya wachezaji saba katika Mataifa mbalimbali wanaokwenda kushiriki michuano hiyo

Katika timu ya Taifa ya Tanzania 'Taifa Stars', Ibrahim Bacca, Dickson Job, Bakari Mwamnyeto na Mudathir Yahya wamepenya katika orodha ya mwisho

Djigui Diarra (Mali), Stephane Aziz Ki (Burkina Faso) na Kennedy Musonda Zambia wanakamilisha idadi ya wachezaji 7 wa Yanga ambao watakuwa Ivory Coast

Yanga ni miongoni mwa timu zilizotoa wachezaji wengi katika michuano hiyo

Mamelodi Sundowns wanaongoza wakitoa wachezaji 11, Al Ahly ikitoa wachezaji 10, Pyramids wachezaji 9 na Yanga ikitoa wachezaji 7 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
20m ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
59m ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
5h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
5h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
15h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
18h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
23h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’