Yanga imepania kutinga nusu fainali Mapinduzi Cup

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
7 Jan 2024
Yanga imepania kutinga nusu fainali Mapinduzi Cup

Kocha Mkuu wa Yanga Miguel Gamondi leo anatarajiwa kutumia kikosi imara kuikabili APR katika mchezo wa robo fainali kombe la Mapinduzi utakaopigwa saa 2:15 usiku

Gamondi amefanya mabadiliko ya kikosi katika kila mchezo kwenye hatua ya makundi lakini leo atatumia silaha zake kamili

Katika Mkutano na Wanahabari jana, Kocha Msaidizi wa Yanga, Mussa Ndaw alisema leo ndio wanaanza rasmi kusaka ubingwa wa michuano hiyo

"Kesho (leo) tutaingia na kikosi bora zaidi, tutaingia kiushindani zaidi, kwetu sisi ushindani wa michuano hii ndio unaanza rasmi , wachezaji wote wako tayari," alisema

Jana Yanga iliwaagiza wachezaji wote waliokuwa mapumziko jijini Dar es salaam kuungana na wenzao Zanzibar

Khalid Aucho, Yao Kouassi na Pacome Zouzoua ni miongoni mwa wachezaji waliotarajiwa kutua Zanzibar

Aidha kuhusu kiungo mshambuliaji Augustine Okrah, nyota huyo huenda akaonekana dimbani kuanzia hatua ya nusu fainali baada ya afya yake kuimarika kufuatia majeraha aliyopata katika mchezo dhidi ya KVZ

Ndaw amesema wamefurahi kuona Okrah aliyesajiliwa na Yanga katika dirisha hili dogo ameimarika na mashabiki watarajie kumuona katika mechi zijazo baada ya hatua ya robo fainali

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
14h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
18h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
22h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
23h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’