Mshery yuko tayari kwa mapambano

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
9 Jan 2024
Mshery yuko tayari kwa mapambano

Mlinda lango Aboutwalib Mshery sasa yuko tayari kupambania nafasi katika kikosi cha kwanza cha Yanga

Mshery ni miongoni mwa wachezaji waliong'ara katika michuano ya kombe la Mapinduzi ambayo hata hivyo Yanga iliaga katika hatua ya robo fainali

Wanasema nyakati ngumu hupita, ndivyo ilivyokuwa kwa Mshery ambaye majeraha yalimuweka nje tangu msimu uliopita

Mshery anatabiriwa kuja kuwa mlinda lango namba moja wa Yanga pale Djigui Diarra atakapomaliza majukumu yake ya kuwatumikia Wananchi

Ametua Yanga katika umri sahihi, mpaka sasa anaonekana yuko tayari kukabidhiwa majukumu makubwa

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
59m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
18h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
22h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
23h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
23h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’