Hersi ashiriki vikao vya Kamati CAF

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Jan 2024
Hersi ashiriki vikao vya Kamati CAF

Akiwa Mwenyekiti wa Shirikisho la Vilabu Afrika (ACA), Rais wa Yanga Injinia Hersi Said yuko Ivory Coast akipeperusha vyema bendera ya Tanzania

Kwa kuwa Mwenyekiti wa ACA, moja kwa moja Hersi ni Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya CAF na anashiriki vikao vya Kamati hiyo vinavyofanyika huko Ivory Coast wakati michuano ya Afcon 2023 ikiendelea nchini humo

Hii ni mara ya kwanza Tanzania imetoa kiongozi mwandamizi CAF, hii ni heshima kubwa kwa nchi na klabu ya Yanga

Bila shaka uzoefu anaopata kupitia nafasi hiyo, itakuwa chachu ya maendeleo ya soka Tanzania na zaidi atazidi kuiimarisha Yanga Kimataifa

Ikumbukwe Hersi anawakilisha klabu zote za Afrika, anazisemea katika mikutano yote mikubwa ya CAF!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
2h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
6h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
11h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
11h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
21h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’