Klabu ya Yanga imethibitisha kufikia makubaliano ya kusitisha mkataba wa winga Mcongomani Jesus Moloko
Moloko anaondoka kwenda kusaka changamoto sehemu nyingine baada ya kuitumikia Yanga kwa misimu miwili na nusu
Wananchi wataendelea kukumbuka mchango wa Moloko akiwa mmoja wa wachezaji walioisaidia Yanga kurejesha ufalme wake wa soka la Tanzania kwa kutwaa mataji yote ya ndani kwa misimu miwili mfululizo
Kila la kheri Moloko...!
ADVERTISE HERE