Yanga inaendelea na zoezi la kusajili Wanachama wapya huku wale wenye kadi wakikumbushwa kulipia ada ya mwaka
Leo timu ya hamasa ya Yanga ilikuwa katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambapo Wabunge walijiandikisha na kupatiwa kadi zao
Wakazi wa Dodoma watakuwa na siku saba za kuhudumiwa ambapo zoezi hilo limerahisishwa, unajiandikisha na kupatiwa kadi yako papo hapo
Yanga imewakumbusha Wanachama na Mashabiki ambao tayari wana kadi, kulipia ada zao za mwaka 2024



ADVERTISE HERE