FT : Prisons 1-2 Yanga, NBC PL

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
11 Feb 2024
FT : Prisons 1-2 Yanga, NBC PL

Yanga imeendelea kujichimbia kileleni mwa msimamo wa ligi kuu ya NBC baada ya ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Tanzania Prisons katika mchezo uliopigwa uwanja wa Sokoine

Mabao ya kipindi cha kwanza yaliyofungwa na Clement Mzize na Pacome Zouzoua yalitosha kunogesha shamra shamra za miaka 89 ya Yanga

Pengine Yanga ilistahili kufunga mabao zaidi katika kipindi cha kwanza Maxi Nzengeli akikosa moja ya nafasi adimu katika mchezo huo

Kipindi cha pili Yanga ilipata pigo baada ya Metacha Mnata kutolewa nje kwa kadi nyekundu baada ya kufanya madhambi nje kidogo ya eneo la hatari dhidi ya Zabona Mwayombya

Kukosekana mawasiliano kati yake na Mwamnyeto kulipelekea makosa hayo ambayo yalisababisha Prisons kufunga bao lao la kufutia machozi kupitia mpira wa adhabu uliopigwa na Jeremiah Juma

Ni alama tatu muhimu kwa Yanga ambazo zinafanya Yanga iendelee kuchimbia kileleni kwa tofauti ya alama nane dhidi ya Azam Fc inayoshika nafasi ya pili na alama 10 dhidi ya Simba inayoshika nafasi ya tatu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
4h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
8h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
13h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
14h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’