Kwa mujibu ya mtandao maarufu wa Africa Facts Zone ambao hufanya tafiti mbalimbali katika mpira wa miguu, imeitaja Yanga kuwa klabu namba moja yenye wafuasi wengi zaidi Tanzania pia ikishika nafasi ya pili barani Afrika nyuma ya Al Ahly
Kwa mujibu wa mtandao huo, Yanga ina wafuasi Milioni 35 nyuma ya Al Ahly yenye wafuasi Milioni 70
Zamalek inashika nafasi ya tatu ikiwa na wafuasi Milioni 30 wakati nafasi ya nne inashikiliwa na Kaizer Chiefs yenye wafuasi Milioni 16
Simba ya Tanzania inashika nafasi ya saba ikiwa na takribani wafuasi Milioni 10

ADVERTISE HERE