Mudathir aweka rekodi bao la mapema Ligi Kuu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
21 Feb 2024
Mudathir aweka rekodi bao la mapema Ligi Kuu

Kiungo mshambuliaji wa Yanga Mudathir Yahya ameweka rekodi ya kufunga bao la mapema zaidi katika ligi kuu ya NBC msimu huu

Katika mchezo dhidi ya KMC uliopigwa uwanja wa Jamhuri mkoani Morogoro, Mudathir aliifungia Yanga bao la kwanza kwenye sekunde ya 44

Mudathir amempiku Sospeter Bajana aliyekuwa akishikili rekodi msimu huu akifunga bao sekunde ya 54

Katika orodha ya mabao ya mapema pia wamo Pacome Zouzoua aliyefunga dakika ya tatu katika mchezo dhidi ya Ihefu Fc kama alivyofanya Kennedy Musonda katika mchezo dhiidi ya Simba ambao Yanga iliibuka na ushindi wa mabao 5-1

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
3h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
3h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
7h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
22h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’