Wananchi wameitika Magufuli Stand

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
23 Feb 2024
Wananchi wameitika Magufuli Stand

Leo Yanga ilikuwa Magufuli Bus Terminal kuhitimisha hamasa kuelekea Pacome Day inayobeba mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya CR Belouizdad ambao utapigwa kesho Jumamosi

Wananchi wamejitokeza kwa wingi, wakipata burudani pamoja na kujipatia tiketi. Aidha kulikuwa na 'bleach' bure

Meneja wa Habari na Mawasiliano klabu ya Yanga Ali Kamwe amewapongeza Wananchi kwa kujitokeza kwa wingi huku akiwataka kuhakikisha wanaujaza uwanja wa Benjamin Mkapa hapo kesho

"Kesho Kwa Mkapa tunatarajia kuona Wananchi mkijitokeza kwa wingi kushangilia timu yetu. Lakini utaratibu ni ule ule ni kupaka bleach ili kuunga mkono vita yetu dhidi ya mwarabu. Tunataka kesho waarabu wakutane na Pacome 60,000. Kwa wale watakaotumia usafiri wa bodaboda wahakikishe wanakuja na Hero Hunter," alisema Kamwe

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
2h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
7h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
7h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
17h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
20h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
1d ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’