Meneja `wa Habari na Mawasiliano klabu ya Yanga Ali Kamwe jana alipata changamoto ya kiafya muda mfupi kabla ya mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya CR Belouizdad kumalizika
Yanga iliibuka na ushindi wa mabao 4-0 katika mchezo huo na kufanikiwa kufuzu robo fainali
Kamwe anaendelea vizuri baada ya kupatiwa matibabu Hospitali ya Agha Khan
Ugua pole Mwenyekiti wa Wasemaji wa klabu barani Afrika...!
ADVERTISE HERE