Dube hatanii, afuta picha zote za Azam Fc

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
6 Mar 2024
Dube hatanii, afuta picha zote za Azam Fc

Wakati sakata la mshambuliaji Prince Dube na timu yake ya Azam FC likizidi kupamba moto, Mzimbabwe huyo amefuta utambulisho na picha zake akiwa na jezi ya Azam FC alizokuwa ameziposti kwenye ukurusa wake wa Instagram

Juzi Dube aliandika barua ya kuomba kuondoka Azam Fc ambapo mpaka sasa bado ameweka msimamo licha ya Azam Fc kumtaka alipe zaidi ya Tsh 800M kuvunja mkataba wake au kurejea mazoezini na wenzake

Dube hahudhurii mazoezi ya Azam Fc huku taarifa zaidi zikibainisha kuwa amerejesha nyumba aliyokuwa amepangishiwa na Azam Fc

Dube amesisitiza anavunja mkataba wake ili arejee kwao Zimbabwe na sio kujiunga na timu yoyote hapa Tanzania

Ni wazi sasa Azam Fc watamkosa Dube pale watakapochuana na Yanga katika mchezo wa ligi kuu march 17

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
1h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
1h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
5h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
20h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’