TFF yawahakikishia Mamelodi usalama

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
23 Mar 2024
TFF yawahakikishia Mamelodi usalama

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeihakikishia klabu ya Mamelodi Sundowns usalama pale watakapokuja kucheza dhidi ya Yanga mchezo wa mkondo wa kwanza robo fainali ya ligi ya mabingwa

Mamelodi walipeleka malalamiko CAF wakihofia hali ya usalama baada ya kauli ya Waziri wa Michezo Dk Damas Ndumbaro kuwa katika mechi za robo fainali ambazo klabu za Yanga na Simba zitacheza dhidi ya timu za Mamelodi na Al Ahly, uzalendo utapewa kipaumbele na mashabiki ambao watavaa jezi za timu pinzani watalazimika kuonyesha passport zao

Katika barua waliyojibu malalamiko hayo yaliyowasilishwa na CAF, TFF imewahakikishia wageni hao kuwa watakuwa salama wao na mashabiki wao

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
11h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
15h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
19h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
20h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
23h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’