Hamasa ya kuizima Mamelodi kuzinduliwa leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
25 Mar 2024
Hamasa ya kuizima Mamelodi kuzinduliwa leo

Leo Yanga itazindua rasmi wiki ya hamasa kuelekea mchezo wa mkondo wa kwanza robo fainali ya ligi ya mabingwa dhidi ya Mamelodi Sundowns ambao utapigwa Jumamosi March 30 katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Meneja wa Habari na Mawasiliano klabu ya Yanga Ali Kamwe leo atazindua wiki hiyo ya hamasa katika Mkutano utakaofanyika Makao Makuu ya klabu ya Yanga, saa 5 asubuhi

Kamwe anatarajiwa kumtangaza mchezaji anayebeba hamasa ya mchezo huo ambao Wananchi wamepania kuibuka na ushindi nyumbani

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
3h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
7h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
8h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
11h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’