Hali za majeruhi kuelekea mchezo dhidi ya Mamelodi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
25 Mar 2024
Hali za majeruhi kuelekea mchezo dhidi ya Mamelodi

Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga, Ally Kamwe ameweka wazi kuhusu hali ya majeruhi kuelekea mchezo wa robo fainali Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Mamelodi Sundowns utakaopigwa Jumamosi, Machi 30, 2024 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa

Akizungumza na waandishi wa habari mapema leo, Kamwe alisema kiungo Zawadi Mauya tayari ameanza mazoezi na yupo tayari kwa mchezo dhidi ya Mamelodi Sundowns

"Zawadi Mauya yupo tayari kufanya kazi kubwa dhidi ya Mamelodi Sundowns. Kibwana Shomari anaendelea vizuri, Yao bado ni 50/50 alichanika nyama za paja"

"Pacome alikuwepo kwenye kikosi cha Ivory Coast dhidi ya Benin na yupo fit kwa zaidi ya 80% na Aucho anaendelea kujifua kujipanga dhidi ya Mamelodi Sundowns," alisema Kamwe

Ni wazi mpaka sasa ni Yao pekee ambaye huenda asiwe tayari kwa mchezo wa mkondo wa kwanza lakini anaweza kuwa amerejea katika mchezo wa mkondo wa pili utakaopigwa April 05 huko Afrika Kusini

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
11h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
20h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’