Kama Mwananchi wa VIP hujakata tiketi mpaka sasa, bado una nafasi kukata tiketi za VIP B kwani ndizo pekee zilizosalia
La sivyo unapaswa kuwahi uwanja wa Benjamin Mkapa kuingia Mzunguuko na Machungwa ambapo ni takribani mashabiki 48,000 tu wataruhusiwa kuingia
Meneja wa Habari na Mawasiliano klabu ya Yanga Ali Kamwe amesema mageti ya dimba la Mkapa yatafunguliwa mapama na yatafungwa mara baada ya idadi ya mashabiki hao kutimia
Tayari baadhi ya Wananchi wako dimba la Mkapa wakati huu wakisubiri kuingia uwanjani
ADVERTISE HERE