Yanga ililazimika kumbakisha Lwandamina pekee kwenye benchi la Ufundi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 Apr 2018
Yanga ililazimika kumbakisha Lwandamina pekee kwenye benchi la Ufundi
Kocha msaidizi wa Yanga, Shadrack Nsajigwa alikuwa Jukwaani kuangalia mechi ya timu yake dhidi ya Welayta Dicha pamoja na wachezaji wake Kelvin Yondani, Obrey Chirwa wakitumikia adhabu ya CAF.

Nsajigwa alikuwa akitumikia adhabu hiyo baada ya kutolewa katika benchi katika mchezo ya marudiano dhidi ya Township Rollers.

>Hata hivyo Yanga walishtuka janja ya CAF, kwa sababu jukwaani hapo alikuwa amekaa na kocha wa viungo Noel Mwandila.

Yanga walihofia kupata adhabu kwa kuwaweka makocha hao katika benchi, kwa sababu wanahisi kwamba aliyepewa adhabu ya kutokukaa katika benchi ni Noel Mwandila na siyo Shadrack Nsajigwa, hivyo wakaona wote wasikae katika benchi.

Wachezaji wengine Yanga waliokuwa jukwaani ni viungo Said Juma Γ’β‚¬ΛœMakapuÒ€ℒ na Papy Tshishimbi ambao wote wametumikia adhabu ya kukosa mechi moja baada ya kupata kadi mbili za njano kwenye mechi mbili zilizopita za Ligi ya Mabingwa Afrika.

Wachezaji hao watakuwa tayari kurejea kwenye kikosi cha Yanga katika mchezo wa marudiano huku nchini Ethiopia siku 10 zijazo

Mwanaspoti
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
9h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’