Kikos cha Yanga kimeondoka jijini Dar es salaam kuelekea Afrika Kusini tayari kwa mchezo wa mkondo wa pili robo fainali ya ligi ya mabingwa dhidi ya Mamelodi Sundowns.Mchezo huo utapigwa Ijumaa, April 05 huku Pretoria
Wachezaji Yao Kouassi, Pacome Zouzoua, Khalid Aucho na Kibwana Shomari ambao walikuwa majeruhi, ni miongoni mwa wachezaji waliosafiri
Hiki hapa kikosi kilichosafiri;
- Djigui Diarra
- Aboutwalib Mshery
- Metacha Mnata
- Bakari Mwamnyeto
- Ibrahim Bacca
- Dickson Job
- Yao Attohoula Kouasi
- Nickson Kibabage
- Joyce Lomalisa
- Gift Fred
- Kibwana Shomari
- Khalid Aucho
- Zawadi Mauya
- Salum Abubakar
- Jonas Mkude
- Mudathir Yahya
- Maxi Nzengeli
- Pacome Zouzoua
- Stephane Aziz Ki
- Augustine Okrah
- Mahlatse Skudu Makudubela
- Farid Mussa
- Denis Nkane
- Clement Mzize
- Joseph Guede
- Kennedy Musonda
#TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko pic.twitter.com/ohmw2QSf7S
— Young Africans SC (@YoungAfricansSC) April 2, 2024
ADVERTISE HERE