Aucho, Pacome uhakika Ijumaa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
3 Apr 2024
Aucho, Pacome uhakika Ijumaa

Kocha Mkuu wa Yanga Miguel Gamondi amedokeza kuwa kikosi kitakachoikabili Mamelodi Sundowns siku ya Ijumaa kinaweza kuwa na mabadiliko kidogo kutegemeana na mpango watakaotumia katika mchezo huo

Yanga ilitua Afrika Kusini jana ikiwa na kikosi kamili kilichowajumuisha baadhi ya wachezaji waliokosekana mchezo uliopita kutokana na kuwa majeruhi

Katika wachezaji ambao wana nafasi kubwa kurejea kikosini ni Khalid Aucho na Pacome Zouzoua wakati Yao Kouassi licha ya kusafiri bado hayuko fit kwa asilimia 100

"Ndio, Tunaweza kuwa na kikosi chenye mabadiliko ni sisi tutaamua tucheze vipi na tuanze na nani kwani wale waliocheza mechi iliyopita wako sawasawa lakini pia wale ambao walikuwa na shida ya afya baadhi wamepona"

"Aucho yuko kwenye nafasi kubwa ya kucheza kuliko wenzake naweza kusema asilimia themanini, Pacome naye amerejea anafuatia nyuma ya Aucho kuhusu Yao amekuja lakini tutaamua hukuhuku cha kufanya," alisema Gamondi

Yanga tayari iko katika Mji wa Pretoria ambao mchezo huo utapigwa Ijumaa majira ya saa 3 usiku

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
3h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
7h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
11h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
12h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’