Dodoma Jiji vs Yanga ni Jumatano, saa 2 usiku

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 Apr 2024
Dodoma Jiji vs Yanga ni Jumatano, saa 2 usiku

Wananchi wamefunga hesabu za michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika na malengo sasa ni kutetea mataji mawili ambayo yako mkononi

Kwanza ni taji la ligi kuu ya NBC ambalo Yanga wanalishikilia kwa misimu miwili mfululizo na taji la pili ni kombe la Shirikisho la CRDB (FA) ambalo nalo Wananchi wanalishikilia kwa misimu miwili

Mchezo unaofuata ni kombe la FA ambapo Jumatano Yanga itakuwa ugenini uwanja wa Jamhuri mkoani Dodoma kumenyana na Dodoma Jiji katika mchezo wa kusaka tiketi ya kutinga robo fainali

Kwa mujibu wa ratiba, mchezo huo umepangwa kupigwa saa 2 usiku, Yanga ikitarajiwa kuelekea mkoani Dodoma baadae leo

Baada ya mchezo huo, Yanga inakabiliwa na mchezo wa ligi kuu dhidi ya Singida FG utakaopigwa April 14 katika uwanja wa CCM Kirumba kisha kurejea jijini Dar es salaam kuumana na Simba April 20

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
26m ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
4h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
5h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
15h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
18h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
22h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
1d ago
READ MORE β†’