Aucho tayari kurejea, Pacome na Yao bado

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
9 Apr 2024
Aucho tayari kurejea, Pacome na Yao bado

Kiungo Khalid Aucho ameendelea kujifua na pengine Wananchi kesho wanaweza kumshuhudia akirejea uwanjani katika mchezo wa kombe la FA dhidi ya Dodoma Jiji ambao utapigwa katika uwanja wa Jamhuri

Aucho amekuwa nje kwa takribani mwezi mzima baada ya kufanyiwa upasuaji mdogo wa goti

Wakati Aucho akiwa tayari kurejea, Yanga itaendelea kuwakosa Pacome Zouzoua na Yao Kouassi ambao wamebaki jijini Dar es salaam

Ni wazi mkufunzi wa Yanga Miguel Gamondi hana haraka ya kuwarejesha nyota hao uwanjani ili wapone kabisa majeraha yao

Ikumbukwe April 20 mechi ya pili ya dabi dhidi ya Simba msimu huu itapigwa dimba la Benjamin Mkapa

Gamondi anachukua tahadhari ote ili kuhakikisha April 20 anakuwa na kikosi chake kamili

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
9h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’