Yanga yasaini mkataba mwingine

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
16 Apr 2024
Yanga yasaini mkataba mwingine

Leo klabu ya Yanga imesaini mkataba wa mwaka mmoja kampuni ya Silver General Investment inayojihusisha na uuzaji wa simu

Rais wa Yanga Injinia Hersi Said amesema kupitia makubaliano hayo, mashabiki na wanachama wa Yanga wanaweza kununua simu kutoka kampuni hiyo kwa gharama nafuu na kuweza kulipa kwa awamu

"Mwanachama na Shabiki wa Yanga ambaye anahitaji kukopeshwa simu anapaswa kutoa kiasi cha Tsh 75,000 na kiasi kinachobaki analipa kidogo kidogo"

"Ndani ya simu utapata App ya Yanga SC ambayo imelipiwa kwa miezi miwili na nusu. Natoa wito kwa Wanachama wa Yanga kuikimbilia fursa hii ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono juhudi za Klabu yako"

"Wataalamu wetu wa Silver General Investment watatoa semina ya namna gani simu hizi za mkopo zinapatikana na zinapaswa kulipiwa. Kimsingi simu hizi hazitalipiwa kwa kutoa hela keshi. Watakuwa na mfumo maalum wa kulipia ili kuepukana na matapeli ambao wanaweza kuathiri biashara hii. Tutatumia matawi yetu kuratibisha mfumo mzima wa ukopeshwaji na ulipaji ili kudhibiti mwenendo mzima wa biashara hii," alisema Hersi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
3h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
4h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
7h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
22h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’