Ligi Kuu ya Wanawake inaendelea leo ambapo mchezo wa watani wa jadi kati ya Yanga Princess dhidi ya Simba Queens utapigwa uwanja wa Azam Complex
Kwa Yanga Princess huu ni mchezo wa heshima na kumaliza uteja dhidi ya wapinzani wao Simba Queens
Yanga Princess haikuwa na msimu mzuri sana mpaka sasa lakini pengine ushindi dhidi ya watani zao Leo unaweza kurejesha matumaini katika mbio za ubingwa
ADVERTISE HERE