Viingilio : Yanga vs Kagera Sugar, NBC PL

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
7 May 2024
Viingilio : Yanga vs Kagera Sugar, NBC PL

Vinara wa ligi kuu ya NBC Yanga kesho Jumatano watashuka uwanja wa Azam Complex kuikaribisha Kagera Sugar katika mchezo utakaopigwa saa 1 usiku

Yanga inakaribia kubeba ubingwa lakini inahitaji alama nane kutoka mechi tano zilizosalia

Meneja wa Habari na Mawasiliano klabu ya Yanga Ali Kamwe amewataka mashabiki kujitokeza kwa wingi dimba la Azam Complex ili kuwapa hamasa wachezaji wao katika mchezo huo ambao ushindi utawasogeza karibu zaidi ya ubingwa

Yanga imetangaza viingilio vya mchezo huo ambapo VIP A ni Tsh 20,000/-, VIP ni Tsh 10,000/- na Mzunguuko ni Tsh 5,000/-

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
10h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
14h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
18h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
19h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
22h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’