Matokeo ya mchezo wa ligi kuu kati ya Azam Fc dhidi ya Simba yameipunguzia Yanga kazi katika mbio za ubingwa wa ligi kuu msimu huu
Kimahesabu sasa Yanga inahitaji alama nne tu kutoka mechi nne zilizosalia ili kutwaa ubingwa
Ushindi dhidi ya Mtibwa Sugar katika mchezo utakaofuata, utaifanya Yanga ifikishe alama 71 ambazo ni Simba pekee itakayoweza kuzifikia kama itashinda mechi zake zote tano zilizosalia

ADVERTISE HERE