Yanga yajipanga kuikabili Mtibwa Sugar

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
10 May 2024
Yanga yajipanga kuikabili Mtibwa Sugar

Baada ya ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Kagera Sugar juzi, kikosi cha Yanga kimerejea mazoezini kwa ajili ya maandalizi ya mchezo unaofuata ligi kuu dhidi ya Mtibwa Sugar

Jumatatu, May 13 Yanga itakuwa mkoani Morogoro, Turiani katikati ya mashamba ya miwa Manungu, kuwakabili wenyeji wao Mtibwa Sugar

Ni mechi nyingine muhimu kwa Yanga ambapo alama tatu zinaweza kuwahakikishia Wananchi ubingwa wa ligi kuu msimu huu kwa asilimia 99%

Meneja wa Yanga Walter Harrison amesema timu itakuwa na siku mbili za mazoezi Dar kabla ya kuelekea Morogoro siku ya Jumapili

Ni wazi haitakuwa mechi rahisi kwani wakati Yanga ikihitaji ushindi ili kutwaa ubingwa, Mtibwa Sugar watakuwa wakipambana kujinasua mkiani mwa msimamo wa ligi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’