Matchday : Mtibwa Sugar vs Yanga, NBC PL, May 13

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
13 May 2024
Matchday : Mtibwa Sugar vs Yanga, NBC PL, May 13

Mabingwa watetezi ligi kuu ya NBC Yanga leo wana nafasi ya kutwaa taji hilo kwa msimu wa tatu mfululizo pale watakapochuana na Mtibwa Sugar katika mchezo utakaopigwa uwanja wa Manungu, Turiani mkaoni Morogoro

Yanga inahitaji alama mbili tu kuwaa ubingwa hivyo ushindi katika mchezo huo utawahakikishia Wananchi taji la 30

Kocha Mkuu wa Yanga Miguel Gamondi amesema watacheza mechi dhidi ya Mtibwa Sugar pasipo kuwa na presha yoyote na lengo lao ni kuhakikisha wanaibuka na ushindi

Ni wazi Yanga leo itahitaji kushinda ili kutwaa ubingwa mapema ili kuwekeza nguvu katika kombe la Shirikisho la CRDB ambapo May 19 watacheza nusu fainali dhidi ya Ihefu Fc

Mbio za ubingwa kwa Yanga zimerahisishwa na watani zao Simba ambao jana walilazimishwa sare ya bao 1-1 dhidi ya Kagera Sugar

Yanga ilitua Morogoro jana ikiwa na kikosi kamili na jioni kufanya mazoezi katika uwanja wa Jamhuri

Bila shaka Gamondi leo atashusha kikosi chake bora kabisa ili kuhakikisha wanashinda mchezo huo

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
11h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
15h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
19h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
20h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
23h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’