Ni ubingwa usio na pingamizi!

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
14 May 2024
Ni ubingwa usio na pingamizi!

Nchi imetulia sasa baada ya Wananchi kumaliza kazi kule mkoani Morogoro jana, ubingwa wa ligi kuu ya NBC umerejea pale kabatini Jangwani kwa msimu wa tatu mfululizo

Yanga imetwaa ubingwa katika misimu yote mitatu mbele ya Simba na Azam Fc zilizofanya uwekezaji mkubwa wa vikosi vyao

Msimu huu tmu hizo zimebaki kupigania nafasi ya pili wakiwaacha Wananchi wakianza sherehe za ubingwa mapema

Yanga imetwaa ubingwa huku ikiwa na mechi tatu mkononi ikivunja rekodi ya msimu uliopita ambapo ilishinda ubingwa ikiwa na mechi mbili mkononi

Shamrashamra zilianza dimba la Manungu jana lakini ile ilikuwa rasharasha tu, maandalizi ya parade kubwa la ubingwa yameanza..

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
12h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
17h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’