Kinzumbi ajisogeza karibu na Wananchi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
17 May 2024
Kinzumbi ajisogeza karibu na Wananchi

Uwezekano wa winga Fellipe Kinzumbi kuitumikia Yanga msimu ujao ni mkubwa

Kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii, nyota huyo anayeitumikia TP Mazembe ni kama ameanza kujisogeza karibu na Wananchi

Baada ya safari ya Rais wa Yanga Injinia Hersi Said DR Congo ambako alifanya mazungumzo na mmiliki wa TP Mazembe Moise Katumbi, Yanga na Mazembe zimefungua ushirikiano katika masuala mbalimbali ya kimpira

Ndio maana TP Mazembe wako nchini wakipatiwa elimu ya mfumo wa kisasa wa uendeshaji wa klabu yao

Kuna taarifa pia ujio wa Mazembe ni sehemu ya makubaliano yanayokwenda sambamba na mauziano ya wachezaji Kinzumbi na Kennedy Musonda

Yanga imemuhitaji Kinzumbi wakati Mazembe wakimuhitaji Musonda hivyo kuna uwekano wawili hao wakabadilishana timu

Katika ukurasa wake wa Instagram, Kinzumbi ameendelea kuweka post zenye 'Uyanga-yanga' mwingi wadadisi wa mambo wakiamini nyota huyo ana shauku kubwa ya kutua Yanga na anaona kama muda unachelewa

Tusubiri...!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’