Kamati ya Utendaji Yanga yakutana usiku

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
12 Apr 2018
Kamati ya Utendaji Yanga yakutana usiku
Kamati ya Utendaji ya klabu ya Yanga jana imekutana kwenye kikao cha dharura baada ya mchezo wa ligi kuu ya Vodacom kati ya Yanga dhidi ya Singida United.

Kamati hiyo inayoongozwa na Kaimu Mwenyekiti wa Yanga Clement Sanga imekutana kujadili tukio la kuondoka 'ghafla' kwa kocha George Lwandamina.

Imeelezwa kuwa Yanga itatoa taarifa rasmi kwa mashabiki na wanachama wake juu ya kilichoamuliwa na hatma ya nafasi ya kocha wa Yanga.

Jana usiku baada ya mchezo idadi kubwa ya mashabiki wa Yanga walifurika Makao Makuu ya klabu hiyo wakitaka wapewe ufafanuzi juu ya tukio la kuondoka kwa kocha George Lwandamina.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
10h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
14h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
18h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
19h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
22h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’