Mudathir nyota wa mchezo nusu fainali FA Cup

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
19 May 2024
Mudathir nyota wa mchezo nusu fainali FA Cup

Kiungo wa Yanga Mudathir Yahya amechaguliwa kuwa nyota wa mchezo wa nusu fainali kombe la Shirikisho la CRDB kati ya Yanga dhidi ya Ihefu Fc uliopigwa uwanja wa Sheikh Amri Abeid

Yanga imetinga fainali ya michuano hiyo baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 lililowekwa kimiani na Stephane Aziz Ki

Mudathir alifanya kazi kubwa katika eneo la kiungo siku ya leo, ni tuzo aliyostahili

Kwa kuibuka nyota wa mchezo, Mudathir ameondoka na kitita cha Tsh 500,000/-

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
2h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
3h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
6h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
21h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’