Tayari kwa Jumamosi ya Mabingwa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
24 May 2024
Tayari kwa Jumamosi ya Mabingwa

Kikosi cha Yanga kimerejea jijini Dar es salaam usiku wa kuamkia leo tayari kwa tukio kubwa la kihistoria kukabidhiwa ubingwa wa 30 Ligi Kuu ya NBC hapo kesho

Baada ya ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Dodoma Jiji juzi, hapo jana Wananchi wakapata heshima ya kualikwa Bunge la Jamhuri na Muungano wa Tanzania

Yanga leo itafanya maandalizi ya mwisho kuelekea Jumamosi ya Mabingwa itakayoambatana na matukio mbalimbali

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
10h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
14h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
19h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
19h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
22h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’