Motsepe akiri Yanga ilinyimwa goli dhidi ya Mamelodi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
24 May 2024
Motsepe akiri Yanga ilinyimwa goli dhidi ya Mamelodi

Rais wa Shirikisho la mpira wa miguu barani Africa (CAF) Patrice Motsepe amesema anaamini bao walilofunga Yanga katika mchezo wa mkondo wa pili robo fainali ya ligi ya mabingwa dhidi ya Mamelodi Sundowns lilikuwa halali

Motsepe ameyazungumza hayo mapema leo Visiwani Zanzibar alikohudhuria mashindano maalum ya CAF ya Shule

"Najua kama Rais wa CAF sipaswi kuingilia mifumo ya soka na naheshimu maamuzi lakini kwa maoni yangu lile ni goli"

"Baada ya mchezo kati ya Mamelodi Sundowns dhidi ya Yanga pale Afrika Kusini, nilimwambia Rais wa TFF Wallace Karia kuwa lile ni goli halali," alisema Motsepe

Yanga iliondoshwa robo fainali CAF CL kwa mikwaju ya penati baada ya suluhu ya bila kufungana dhidi ya Mamelodi

Pengine Wananchi walistahili kusonga mbele badala ya Mamelodi kama sio kunyimwa bao hilo la Stephanie Aziz Ki

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
5h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
8h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
13h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
13h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’