Shamra shamra za ubingwa wa ligi kuu ya NBC zimefana uwanja wa Benjamin Mkapa Yanga ikikabidhiwa taji baada ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Tabora United
Ni taji la 30 Ligi Kuu ya Tanzania Bara kwa Yanga. Ni mwendelezo wa rekodi nzuri ya kukusanya mataji kwa Wananchi
Hongera Yanga, Hongera Wananchi, ni ubingwa usiokuwa na shaka. Alama 77 kibindoni baada ya mechi 29



ADVERTISE HERE