Diarra bado hajamalizana na Matampi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
28 May 2024
Diarra bado hajamalizana na Matampi

Wakati Stephane Aziz Ki akichuana vikali na Feisal Salum katika mbio za kuwania tuzo ya ufungaji bora, vita nyingine ni kati ya mlinda lango Djigui Diarra dhidi ya Vumi Ley Matampi wa Coastal Union

Ni tuzo ya kuwania mlinda lango bora wa ligi kuu msimu huu mpaka sasa kila mmoja akiwa na cleansheet 14

Diarra anatarajiwa kukaa langoni baadae leo wakati Yanga ikichuana na Prisons uwanja wa Azam Complex wakati Matampi atakuwa langoni wakati Coastal Union ikichuana na KMC mkoani Tanga

Unaweza kusema leo Tanzania Prisons watakuwa na kazi mbele ya Yanga licha ya kuwa Wananchi tayari ni mabingwa

Diarra hatakuwa tayari kuona nyavu zake zinatikiswa na Prisons na wakati huohuo Aziz Ki atahakikisha anawafunga mabao kadiri awezavyo ili ajihakikishie tuzo ya ufungaji bora..!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
4h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
4h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
8h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
23h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
23h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’