Mambo 5 ya kufungia msimu yaliyofurahisha Wananchi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
28 May 2024
Mambo 5 ya kufungia msimu yaliyofurahisha Wananchi

Ameandika Mkurugenzi wa Sheria wa klabu ya Yanga, Simon Patrick;

Mambo 5 ya kufungia msimu yanayotufurahisha wananchi;

1. Wakitaka kusema tumezionea timu dhaifu msimu huu unakuta timu yao tumeikanda goli 7 na kukusanya point 6.

2. Wakitaka kumlinganisha Aziz Ki na mchezaji waliotaka awe mfungaji bora, unakuta Aziz Ki ndiye kinara wa magoli na kawakanda mechi zote.

3. Wakitaka kujiita wajuaji wa mechi za kimataifa unakuta timu yao haitashiriki klabu bingwa msimu ujao.

4. Wakitaka kusema mafanikio yao msimu huu unakuta wana WhatsApp channel na kibegi kama mafanikio.

5. Wakitaka kusema Mzee awaachie timu yao wanakuta timu ishanunuliwa kitambo kwa mujibu wa taarifa ya mnunuzi.

Kwa ufupi timu yao imefeli vita zote msimu huu, vita ya ubingwa, vita ya nafasi ya pili na vita ya mchezaji wampendao kutwaa kiatu cha ufungaji bora.

NB: Muda wa kutumia ile 20B umefika sasa Manzoki aje kuokoa jahazi laa sivo mtaendela kuteka wachezaji Airport

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
5h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
9h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
14h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
14h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
17h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’