Tunalitaka taji la FA - Musonda

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
30 May 2024
Tunalitaka taji la FA - Musonda

Baada ya kukamilisha mechi ya mwisho msimu huu wa Ligi Kuu kwa kufunga bao na kutoa assist katika mchezo dhidi ya Tanzania Prisons jana, mshambuliaji Kennedy Musonda amesema sasa wanaelekeza nguvu katika mchezo wa fainali kombe la Shirikisho la CRDB dhidi ya Azam Fc ambao utapigwa Jumapili, Juni 02 katika uwanja wa Amaan Complex, Zanzibar

Musonda amehitimisha msimu akiwa na mabao matano, sio takwimu bora sana kwa mshambuliaji wa kariba yake lakini amekuwa mchezaji muhimu katika kikosi cha Kocha Miguel Gamondi hasa kwenye zile mechi kubwa

"Tumemalizana na ligi sasa mawazo yetu ni kwenye kombe la FA. Tunahitaji sapoti yenu Wananchi tukutane Zanzibar"

"Pia nichukue nafasi hii kumpongeza rafiki yangu Aziz Ki kwa kuibuka mfungaji bora wa ligi kuu msimu huu, najivunia kucheza nae katika timu moja," aliandika Musonda katika ukurasa wake wa mtandao wa kijamii

Musonda aliasist moja ya mabao yaliyofungwa Aziz Ki jana katika mchezo dhidi ya Prisons ambao Yanga ilishinda mabao 4-1, Aziz Ki akifunga hat-trik na kufikisha mabao 21 yaliyompa tuzo ya mfungaji bora

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
12h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
17h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’